Latest news from Kenya

Searching for the up-to-the-minute news, breaking news and feature stories

* Saturday, May 25, 2019 07:04:54 CET
Photo/News: IVA DIGITAL/GHAFLA.COM
Msanii wa muziki wa Bongo fleva na Dansa maarufu Tanzania Msami Baby amefunguka na kuweka wazi Jinsi Marehemu Ruge Mutahaba alivyomsaidia na kumtoa kwenye maisha ya wizi. Kwenye mahojiano aliyofanya na Global Publishers, Msami alisema kipindi hicho alikuwa akiishi maisha ya kihuni Temeke ambapo alikuwa mwizi wa kutupwa na tena wa kuvunja nyumba za watu, kuiba mali na kwenda kuuza lakini anamshukuru sana Ruge ndiyo ameweza kuona kipaji chake na kumwambia aachane na hivyo vitu aimbe. download latest music     Nitalia siku zote juu ya Ruge, ameniepusha na kifo mimi maana jamaa niliyekuwa naiba naye majumbani kwa watu amesh-auawa. Baada ya Ruge kuniona na kunichukua nilisafiri kwenda Afrika Kusini na niliporudi nilikuta yule rafiki yangu kauawa kwa sababu ya wizI”. Lakini pia Msami ameweka wazi kuwa moja ya mafanikio makubwa aliyokuwa nayo ni Ruge kumuamini kuwa msanii na kiongozi wa madansa na pia kumfanikishia kununua gari aina ya Toyota IST (nyeusi) ambayo imekuwa ikim-saidia katika kazi zake za kimuziki....
...Tanzania Msami Baby amefunguka na kuweka wazi Jinsi Marehemu Ruge Mutahaba alivyomsaidia na kumtoa kwenye maisha ya wizi.Kwenye mahojiano aliyofanya na Global Publishers, Msami alisema kipindi hicho alikuwa akiishi maisha ya kihuni Temeke ambapo alikuwa mwizi wa kutupwa na tena wa kuvunja nyumba za watu, kuiba mali na kwenda kuuza lakini anamshukuru sana Ruge ndiyo ameweza kuona kipaji chake na kumwambia aachane na hivyo vitu aimbe.     Nitalia siku zote juu ya Ruge, ameniepusha na kifo mimi maana jamaa niliyekuwa naiba naye majumbani kwa watu amesh-auawa. Baada ya Ruge kuniona na kunichukua nilisafiri kwenda Afrika Kusini na niliporudi nilikuta yule rafiki yangu kauawa kwa sababu ya wizI”.Lakini pia Msami ameweka wazi kuwa moja ya mafanikio makubwa aliyokuwa nayo ni Ruge kumuamini kuwa msanii na kiongozi wa madansa na pia kumfanikishia kununua gari aina ya Toyota IST (nyeusi) ambayo imekuwa ikim-saidia katika kazi zake za kimuziki. Share Leave a Reply Your email address will not be published. Required fields are marked *CommentName * Email * Phon... Read the full article
* Check for more news published in Kenya and other latest world news
About YT World News
YT World News is a search engine and aggregation service for collecting information published by the most popular and trusted news sources in Kenya.
Search results direct users to original news sources. The app may also feature some news particularly found to be relevant and important.
IVA Music TV
An outstanding collection of top-quality music videos presented in the form of a playlist featuring worldwide indie music promotion.
Available 24/7 on all desktop and mobile devices.
News Express
Stay up to date with the most prominent world news and featured stories presented in the form of a telegram or digitally projected news.
YT Remote
Featuring the collection of web apps running in interaction with the remote cloud-based software.